TANGA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL

Our Motto: Service Not Self

The First Government Secondary School in Tanzania

TANGAZO: WANAFUNZI WOTE MNATAKIWA KURIPOTI SHULENI TAREHE 30/07/2017 KAMA MLIVYOJULISHWA AWALI.
AIDHA, UONGOZI WA SHULE UNAKANUSHA TAREHE NYINGINE ZOZOTE ZINAZOSAMBAZWA MITANDAONI.

Unaweza kupakua(Download) fomu (JOINING INSTRUCTIONS FORM FIVE 2017/18) ya kujiunga na shule kwa kidato cha Tano hapa DOWNLOAD au chini ya sehemu ya matangazo(Announcements)

ANNOUNCEMENTS

 • UKARABATI WA MABWENI NA MIUNDO MBINU YA VYOO
 • KAMATI YA UKARABATI IKIWA KATIKA UKAGUZI WA MSHIMO YA MAJI TAKA
 • KAMATI YA UKARABATI IKIWA KATIKA UKAGUZI WA MSHIMO YA MAJI TAKA
 • WALIMU WAKIWA KATIKA USIMAMIZI WA MAJENGO
 • WALIMU WAKIWA KATIKA USIMAMIZI
 • FUNDI AKIENDELEA NA UKARABATI WA MIUNDO MBINU YA MABWENI
 • MAFUNDI WAKIENDELEA NA UKARABATI
 • KAMATI YA UKARABATI IKIWA KATIKA UKAGUZI
 • MAFUNDI WAKIENDELEA NA UKARABATI
 • MIONGONI WA WALIMU AKIKAGUA UKARABATI WA MADARASA
 • KAMATI YA UKARABATI IKIWA KATIKA UKAGUZI WA MADARASA
 • UKARABATI WA JIKO LA SHULE
 • MUONEKANO WA BWALO LA SHULE BAADA YA UKARABATI
 • MUONEKANO WA BWENI LA NYATI BAADA YA UKARABATI
 • MUONEKANO WA BWENI LA NYATI KWA NDANI BAADA YA UKARABATI
 • MUONEKANO WA BWENI LA CHUI BAADA YA UKARABATI
 • MUONEKANO WA BWENI LA KIBOKO LIKIENDELEA KUKARABATIWA
 • MUONEKANO WA BAADHI YA MADARASA YANAYO KARABATIWA
 • MUONEKANO WA SEHEMU ZA KUNAWIA MIKONO MALIWATONI
 • MUONEKANO WA SEHEMU ZA KUFULIA NGUO
 • MUONEKANO WA SEHEMU ZA KUFULIA NGUO
 • BAADHI YA VITANDA VINAVYOENDELEA KUKARABATIWA
 • MUONEKANO WA MAKTABA BAADA YA UKARABATI
 • SEHEMU YA UKARABATI WA NDANI WA JIKO LA KUPIKIA
 • UKARABATI WA NGAZI YA BWENI LA KIBOKO
 • MUONEKANO WA BWALO LA CHAKULA LIKIENDELEA KUKARABATIWA


The Head Master
Mr. A.W. Mwakanyamale

Welcome to Tanga Technical Secondary School in Tanga region Tanzania.
It is located 10 kilometres from Tanga city Bus Terminal at Kange to Tanga Technical School.Is a Technical School which also offers science subjects
and two Subject combinations PCM and PCB
for Advanced level.
VISITORS   COUNTER


Click here